PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachajia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

Blue: Wanaume wasipovizia mademu ili wawatafune, unataka wavizie mitetea au mbuzi??

Red: Aliyekuambia mademu wa JF hawako mitaani ni nani? Au unadhani mademu wa JF tukikutoa wewe wako sayari ya Mars??
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachajia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
Mkuu, mitongozo ya humu c ndiyo iliyosababisha hadi ukampata huyo anekuunguza na kukuchubua na "bhunyare" au?
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachajia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?

Wewe ulipokuja humu kutafuta mume huko mtaani kwako ulikuwa huwaoni? Uliweka tangazo hapa watu wakaja ukachagua mmoja. Ukakutangazia umepata mchumba. Ukatutangazia mahali imelipwa. Ukatutangazia na kutualika siku ya ndoa na harusi. Ukatutangazia mambo ya ndoa baada ya kuingia. Leo hii unaanza michambo!!!? Kweli maskini akipata matako ulia mbwata. Fyuuuuuuuu
 
Samahani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom