Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,523
- 24,010
Kutokana na wimbi la mauaji yanayoendelea jijini hapa hasa kwenye nyumba za wageni. Meya wa Jiji na Mkuu wa Mkoa wamepitisha Sheria hizi ambazo zita anza kutumika tar 15/5/2016. Sheria hizo.
1. Mnapoingia guest house mnapaswa muwe na barua toka serikali za mtaa.
2. Wote wawili muache copies za vitambulisho na hati za kuzaliwa
3. Wote wawili mtapiga picha mkiwa meshikana mikono na kuziacha hapo guest house likitokea lolote ziweze kutumika
4. Hati za kiapo kuwa hamchepuki
5. Kama mnachepuka basi muandike barua ya maelezo kwa nini mnachepuka
Sheria hizi zinapaswa kutumika kwa kila anayeenda kulala nyumba za wageni.