Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Wadau tukumbushane AKA za mashuleni tulikosomea.
Mimi naanza na Minaki na Umbwe:
Minaki aka Dabanga
Tumbili aka Vinyanyiko
Mkuu wa Shule aliyekuwepo wakati wetu aka Faza
Mkuu wa Shule Msaidizi aka Pilato
Maticha wengine walikuwemo kina Braza Kei, Kiburungutu, Mpapa Mabuga, Mpapampapa, Mshua, Zanta, n. k.
kwenda Jijini DSM = Kudrop Town;
Ugali = Jiwe;
Uji = Udaga
Kusoma = kuchima
Mwanafunzi anayesoma sana = Kichimbuzi
Choo cha Shimo = Cheche
Umbwe = Mti Safi;
Head Master wa wakati huo = Savimbi
Walimu wengine walikuwa kina Lobilo, Jogoo, Zimwi, Mchemfu, Bob Liz kulikuwa na mfanyakazi mdada aliyeitwa Kuku
Ugali = Bonge;
Uji = Sifongo;
ujazo wa sahani tatu za uji = Ninga moja;
Mkate wa Arusha = Mbuzi;
Eneo la mbele ya duka = Slaidi;
Kukaa eneo la mbele ya duka la shule na kuwaangalia mabinti wa Kikibosho wanapita = Kuslaidi;
Kusoma usiku kwa mda mrefu = Kurusha Eya
Choo cha Shimo = Maputo
Karibuni muongezee mengine