Eti ukikamatwa unamuita mwanamke CHURA ni viboko 15 adhabu, SERIOUSLY??????? sasa midawa ya kuongeza MATAKO mnaitumia ya nini kama hamtaki kusifiwa??
Mmetudharirisha muda woote na mijina ya ajabu...
>> Ni Sifa Zipi Nazotakiwa Kuwa Nazo Ili Nipate Mke Toka Zanzbar....
Sambamba na Hilo Hebu Nionjesheni Sifa Zao Kulingana na Sehemu au Jamii Watokayo, Japo Najua Chache.
>> Pia, Naomba Kujua...
Hola!
Kuna maneno au sentensi wazungu wanaita, TONGUE TWISTER, ukitamka haraka lazima ujikaanyage ulimi.
Ebu nawe kama wazijua kadhaa za kiswahili ebu tupia hapa, misemo hii unatakiwa useme haraka...
Ukitaka kuoa, basi oa mwanamke mjuaji Kama Lara 1.
Wanawake dizaini ya Lara 1 wanaogopeka sana na wanaume kwa kuwa wanaongea sana, ni wajuaji sana, lakini nakuhakikishia kabisa kuwa ukidaka...
Wakuu,
Hili tangazo la tigo ambalo ameigiza joti na Natasha nimeshindwa kabisa kupata logic yake, mara joti kapigiwa simu na Mke wake ambaye ni Natasha yuko ndani anamwuuliza nani ni no.1 wake af...
Lafudhi ya Dogo janja inaongelewa na kila rika kule Arusha, huyu ni Mama wa Kichaga anaongea kama dogo Janja. Rafudhi Hii Inawavutia Wengi Sana Nchini Tanzania.
Kuna watu wawili walienda railway station wakakuta train ndio inaondoka wakaanza kuikimbiza mmoja akafankiwa kuipata"alieachwa akawa anacheka"watu wakamuliza unacheka nini wakati umeachwa? akasema...
Jamii forum ni zaidi ya Chuo, ama, Tanzania House of Talent (THT). Ni ukweli mtupu kuwa kuna wanaopata maarifa, ujuzi, ushauri, burudani, pundee tuu waingiapo kwa huu mtandao pendwa jf. Huwa...
Wakuu wanaume wa Dar tumeshambuliwa sana humu mjengoni kufikia hatua ya kuambiwa sisi ni waoga, tuna upungufu wa nguvu, legelege na majina mengi mengi tu ambayo watoto wa wakulima wa huko mikoani...
Mpo poa masela ?
Ziro Matamaa ni mshikaji wetu anayekaa mtaa wa Uchafu, ni mtaa unaopatikana pande za mabondeni.
Jamaa ni msela mwenye mbwembwe na mikogo kibao. Huwa anakuja kupiga stori kwenye...
Ndugu zangu nimepata kuona na kusikia kwa watu wengi siku hii eti njia(Kupanda minarani na kutishia kujitupa)ya kudai stahiki zao ni kwa kupitia njia hii ya mkato ili kupata chako mapema.
Sasa...
Wakuu kuna binti mmoja hapa jirani na ninapo ishi nilitokea kuwa na mahusiano nae ,kuna siku alikuja ghetto nikamgegeda kwa bahati mbaya sikuvaa kinga(condom)nilikuwa na mzuka sana Baada ya...
Wa humu habari zenu!!!
Binafsi nazidi kushangazwa sana na hizi haki hasa kwa akina mama.
Licha ya wanaume kuitwa mabuzu kwa miaka mingi sana haijatokea hata mara moja kauli hiyo kupigwa...
Habari zenu.
Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam...
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.
Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani...
Nlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap.
Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je...
Kihistoria mimi ni mtoto pekee kwa mama yangu yani wa kwanza na wa mwisho ( kitinda mimba na kifunga mimba). Mama alifariki nikiwa na umri wa miaka 2 na miezi 7 hivi.Lakini mapema baada ya kuacha...
Nimechukua kikapuchangu chenye rangi .kucha za bandia na vitu vya urembo kama vibanio vya nywele nikatokomea mtaani kwenda kutafuta Wateja
Niumbali wa km 1 toka napoishi hadi mtaa niliofikia...