Huu mchezo hautaki jazba dada zangu

BIA BORA

Senior Member
Oct 21, 2013
144
164
Eti ukikamatwa unamuita mwanamke CHURA ni viboko 15 adhabu, SERIOUSLY??????? sasa midawa ya kuongeza MATAKO mnaitumia ya nini kama hamtaki kusifiwa??

Mmetudharirisha muda woote na mijina ya ajabu sisi tumetulia, kaja mwenzenu na hili jina MUJARABU la CHURA mnapanic. mbona sisi hatukupanic mlipotuita
  1. buzi
  2. shuga dadi
  3. ATM
  4. popo
  5. fataki
  6. dungadunga
  7. kiwembe
  8. mswati
  9. wanaume wa dar
  10. mume bwege
na mengine meengi, nawasisitiza huu mchezo hauitaji hasira, kama una matako makubwa UTAITWA CHURA TU, maana hamna namna sasa
 
Hilo la Chura lawauma sana ndo maana wamepanic
Tatizo mwayaongeza wenyewe
Vyuraaaa
 
ha ha ha ha ha ha bendi inaenda na vyombo vyake na wimbi la nyuma ndio lisukumalo boti.....
 
Back
Top Bottom