Mama wa kichaga anaeongea kama dogo janja

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Lafudhi ya Dogo janja inaongelewa na kila rika kule Arusha, huyu ni Mama wa Kichaga anaongea kama dogo Janja. Rafudhi Hii Inawavutia Wengi Sana Nchini Tanzania.
 
siku hizi ukiongea kwa lafudhi ya kisukuma hasa kama wewe ni mwanaume inalipa sana, lol!
 
Back
Top Bottom