Mzorewa Member Jan 30, 2013 56 6 May 28, 2016 #1 Hakuja haja ya salam, natafuta ile katuni "jamaa kapanda punda,watu wakasema anamuumiza punda,aliposhuka wakasema jamaa bwege anatembea kwa miguu ilhali anapunda......."mwenye nayo tafadhali aniwekee hapa
Hakuja haja ya salam, natafuta ile katuni "jamaa kapanda punda,watu wakasema anamuumiza punda,aliposhuka wakasema jamaa bwege anatembea kwa miguu ilhali anapunda......."mwenye nayo tafadhali aniwekee hapa