Napenda Mke Wangu Atoke Zanzibar

Simba mweupe

Member
Aug 31, 2014
61
20
>> Ni Sifa Zipi Nazotakiwa Kuwa Nazo Ili Nipate Mke Toka Zanzbar....
Sambamba na Hilo Hebu Nionjesheni Sifa Zao Kulingana na Sehemu au Jamii Watokayo, Japo Najua Chache.

>> Pia, Naomba Kujua Process/Hatua Nzima Hadi Kumweka Ndani (Kuwa Mke.. Mama Watoto)

Nawasikiliza........!!!!!
 
Back
Top Bottom