City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Habari zenu.
Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam tumekuwa tukipigwa vita sana karibia kila Kona na vijana wa mikoani (bush). Nadhani mnatambua fikra kwamba vijana wa Daslam tukija mikoani huko dada zenu/girlfriend zenu hawatulii nyumban. Maisha yapo huku daslam ndiy maana mnakuja kuzamia. Kumbukeni pia vipasel vingi toka mikoani vinatelekezwa pale ubungo na kuwa chakula cha stand nzima. Punguzeni wivu vijana wa mikoani na heshima iwepo. Mjini akili mikoani nguvu