barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Hola!
Kuna maneno au sentensi wazungu wanaita, TONGUE TWISTER, ukitamka haraka lazima ujikaanyage ulimi.
Ebu nawe kama wazijua kadhaa za kiswahili ebu tupia hapa, misemo hii unatakiwa useme haraka haraka na kwa kirudia rudia haraka.
-Kafa Manzese mazishi Sinza
-Kichwa cha twiga
-Kaka kale kakuku kako kadogo kako kwa kaka kadoda??
Etc