A ab cd Member May 28, 2016 94 19 May 28, 2016 #1 Nataka kusoma sheria ili hal nilisoma sayansi nitaweza?
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 May 28, 2016 #2 ab cd said: Nataka kusoma sheria ili hal nilisoma sayansi nitaweza? Click to expand... Yes Isipokuwa kutoka law kwenda sayansi haiwezekani kwa kutumia matokeo ya law
ab cd said: Nataka kusoma sheria ili hal nilisoma sayansi nitaweza? Click to expand... Yes Isipokuwa kutoka law kwenda sayansi haiwezekani kwa kutumia matokeo ya law
A ab cd Member May 28, 2016 94 19 May 28, 2016 Thread starter #3 Kwa huo nipige mzigo kama kawa au cyo jomba!!
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 May 28, 2016 #4 ab cd said: Kwa huo nipige mzigo kama kawa au cyo jomba!! Click to expand... Ndio mkuu Somo linaloangaliwa ni ufaulu wa English tu
ab cd said: Kwa huo nipige mzigo kama kawa au cyo jomba!! Click to expand... Ndio mkuu Somo linaloangaliwa ni ufaulu wa English tu
Bitoz JF-Expert Member Aug 27, 2015 30,823 126,549 May 28, 2016 #6 ab cd said: Nilikuwa na A ya english Click to expand... Poa mkuu Usihofu
Szczesny JF-Expert Member Apr 15, 2016 7,180 25,923 May 29, 2016 #8 ab cd said: Ok Click to expand... Piga mzigo ina wezekana kabsaa
juan moses JF-Expert Member Feb 16, 2014 2,403 2,477 May 29, 2016 #9 Prof. Issa Shivji Alichukua Sheria Kama Degree Ya Pili Baada Ya Sayansi Kama Sikosei. All The Best.