Lara 1 ni mke mwema

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,697
Ukitaka kuoa, basi oa mwanamke mjuaji Kama Lara 1.

Wanawake dizaini ya Lara 1 wanaogopeka sana na wanaume kwa kuwa wanaongea sana, ni wajuaji sana, lakini nakuhakikishia kabisa kuwa ukidaka mwanamke dizaini ya Lara 1 ujue umepata mke wa kweli kabisa, hawajui kuchepuka, ni watiifu sana na ni waoga sana kuvunja ndoa zao.

Hebu jaribu kuoa mwanamke mpole asiyejua kuongea ukione cha moto, hao wapole ndo mabingwa wa kuchepuka, ni wakaidi sana, upole wao umeficha mazito ndani yao.

Ningekuwa sijaoa, Lara 1 would have been my choice, zile kelele na maneno mengi ni mkwara tu, ndani ya moyo they are women fit for marriage.
Kwa hiyo Lara 1,ni mke mwema.
 
Amina baba..... Ningekuwa najinsia tofauti na nilionayo ningerusha kombora
Je ungenipenda?@lara1
 
Hivi unamtongoza lara 1 unaanza na gia gani hasiyoijua!?
Twiga Tuu wa Wanaume...
Lara1 Anatongozeka Vizuri tuu....Kwani yeye hajui kupenda...
Kiukweli Huyu Dada Ni Mke Bora sana sana Tena anaonekana Ni Mjuzi Kitandani....Anakuwa Mkali Na Maneno machafu ili Apunguze Wanaume Wakware apate Cream Nzuri....Strategy yake Ni Nzuri sana...
Na Ukitaka Kumpata Kuwa Mkweli zaidi....Halafu Na Uwe Na Maono (Vision) za Mambo mbalimbali.
Ila Usiwe Mjuaji...akipanda we shuka tuu.
Atakuambia hata mahari hataki OA tuu
Lara1
 
Mhhhh! Si wanasema kunguru hafuguki.... au wahenga wamebadili misemo!
Ila utafaidi sana, na hutakuwa na stress kbs!
 
Khaaa!...mmejuaje kua lara1 ni msichana??....tena mke mwema?

mmewahi kumuona?
au kuisikia sauti...

Hii Jf anaweza kua mwanaume pia
(lara usinichambe lakini )
 
Hahahaha kuna thread hapa kuwa usioe mwanamke wa kabila Fulani, je yeye haangukiii kwenye mojawapo ya yale makabila?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi huwa waongeaji ni hatari kwenye ndoa... Ila nasikia kwenye 18, wakuaa kimyaa sana.. mbwe-mbwe zote huisha!

Baada ya game sasa, kudomoa kuna rudi pale pale...
 
Khaaa!...mmejuaje kua lara1 ni msichana??....tena mke mwema?

mmewahi kumuona?
au kuisikia sauti...

Hii Jf anaweza kua mwanaume pia
(lara usinichambe lakini )
Hahahaaaa! Yaani umejihami kabisa!
 
Twiga Tuu wa Wanaume...
Lara1 Anatongozeka Vizuri tuu....Kwani yeye hajui kupenda...
Kiukweli Huyu Dada Ni Mke Bora sana sana Tena anaonekana Ni Mjuzi Kitandani....Anakuwa Mkali Na Maneno machafu ili Apunguze Wanaume Wakware apate Cream Nzuri....Strategy yake Ni Nzuri sana...
Na Ukitaka Kumpata Kuwa Mkweli zaidi....Halafu Na Uwe Na Maono (Vision) za Mambo mbalimbali.
Ila Usiwe Mjuaji...akipanda we shuka tuu.
Atakuambia hata mahari hataki OA tuu
Lara1
Siumtongoze tu unazunguka nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom