Leo nimecheka sana

Jun 1, 2015
29
19
Kuna watu wawili walienda railway station wakakuta train ndio inaondoka wakaanza kuikimbiza mmoja akafankiwa kuipata"alieachwa akawa anacheka"watu wakamuliza unacheka nini wakati umeachwa? akasema yule aliepanda alikuwa ananisindikiza mimi"
 
inachekesha eeh!! hiyo tren ni ya wapi mkuu? tukio lenyewe ni la leo leo? duh!! inabidi tujiulize huyo mtu ni wa wapi...much bad inawezekana tren ilikuwa ina behewa moja tu...
Huyo msindikizaji bila shaka atakuwa Msukuma... On a serious note...Kuwa na sense of humor ni kipaji na huyu mwanzisha mada inaonekana hana. Ukisema joke yako halafu walengwa bado wanauliza nini cha kuchekesha basi jua kuwa umeshindwa. Ajipange upya!
 
Back
Top Bottom