JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa kauli hiyo kila mtanzania ana taputapu lake...letu sisi ni MBEGE, tukumbushe taputapu la kwenu ni lipi???
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima anasakkwa na jeshi la polisi sana ili akatoe maelezo ambayo jeshi hilo lina yahitaji mara baada ya sauti iyosambaa katika mitandao ya jamii ikizungumzia...
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Watu wote tunaishi kwa bajeti ila hii ni kiboko Mkinga mmoja alitumbukia kwenya kisima cha maji , akapiga kelele mkewe akaja na kamba mpya amrushie ili amuopoe, badala ya kuishika...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..? jamaa:No sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..? Jamaa:No...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Leo nlikuwa zangu nachat facebook!!!.... mara meseji ikaingia Kufungua nakutana na smm kutoka kwa binti Binti: vepe mzm ww Mimi:me nko pw xijui ww Binti:me mzm duh umenisusa wangu Nikaona huu xx...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Habarini!!!! Hivi sasa kumekuwa na hali ya watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kwenye tamthilia hasa hili jina la 'Nicole'. Hata humu ndani kina Nicole na mama/baba Nicole wapo wengi sana. Je...
1 Reactions
79 Replies
11K Views
Yani wanawake huwa hawaamini na haiwaingii akilini kuwa wanaume hushindwa kuwapata/kukubaliwa pale wanapotaka mzigo. Utasikia" unashindwaje,yani me ningekuwa mwanaume hakuna demu angekataa"
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Jinsi kuificha pm yangu yan mchumba wangu anapenda kufungua jf na kwenda moja kwa moja kwenye inbox cjui anatafuta nn je nawezaje kuweka password? Ili asione
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Breaking News Hatimaye mpira aliopiga mshambuliaje wa Argentina lionel Messi waonekana Uganda ukiwa unaendelea na safari (source setlite)
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hawataki kuoga! no kupiga mswaki.. nguo ndo kabsaa!!!
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi,nyani akapora ndizi akala muuzaji akamaindi,mzungu akasema unamaind nini wakati ndizi kala ndugu yako?mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wanajamvi! Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari. Erickb52 na Chocs watu8 na measkron marejesho na...
19 Reactions
1K Replies
47K Views
For my birthday I want world peace, to end hunger and pain, to end global warming, to end racism, for people not to judge others by the outside, for all ages, colors, races, and other differences...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
mi siamini km hakuna mungu mi siamini km kuna ktu cha bure duniani mi siamini km maisha magum yanafanya mtu kua changudoa mi siamini uongo mi siamini km duniani kuna masikini mi siamini km furaha...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Hebu niambie. Itakuwaje endapo...... - Nitamgombeza na kumchapa sana msichana aliyevunja ungo kwa kuharibu kifaa muhimu cha nyumbani. - Nitamkamata mwizi siku ya kwanza kabla hajafikisha siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbongo akiwa dubai kashika sigara anataka kuwasha na hajui jinsi ya kuomba kibiriti kwa kiarabu.mara akamuona mwarabu anavuta sigara ikabidi aombe kiroho ngumu HELP ME JEHANAMU heheheh
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
"Leo Ni Kesho Uliyoihofia Jana" Huu Ni Ukumbusho Kuwa Maisha Ni Mapambano. Tuheshimiane Na Kuthamini Mawazo Ya Wenzetu Ila Sio Kuogopa. Uoga pekee Ni Dhambi Kwa Mungu. Unamuogopa Nani?. Yeye Kama...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Unakumbuka nini ukisikia majina haya chini? Kipi kinakuja kichwani mwako endapo ukiona moja ya majina haya? -Urafiki Club -Arnatouglou -Summit Kilimanjaro Hotel -Vijana...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
We Hamnazo we, Kwa uzembe wako wa shule tangu ulipoponea chupuchupu Form 2, sikutumii tena hela za matumizi mpaka utakaponipa jibu la hesabu hii ya kujumlisha hapa chini. Kila herufi katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…