Acha uoga

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
"Leo Ni Kesho Uliyoihofia Jana" Huu Ni Ukumbusho Kuwa Maisha Ni Mapambano. Tuheshimiane Na Kuthamini Mawazo Ya Wenzetu Ila Sio Kuogopa. Uoga pekee Ni Dhambi Kwa Mungu. Unamuogopa Nani?. Yeye Kama Nani?. Ataishi Milele? Mwisho Wake Ni Wapi?. Muhimu Ni Kumkumbuka Mungu Katika Harakati Zetu Za Kila Siku. Amani Iwe Kwenu Wandugu.
 
safi sana kiongozi ujumbe mzuri aise
 
"Leo Ni Kesho Uliyoihofia Jana" Huu Ni Ukumbusho Kuwa Maisha Ni Mapambano. Tuheshimiane Na Kuthamini Mawazo Ya Wenzetu Ila Sio Kuogopa. Uoga pekee Ni Dhambi Kwa Mungu. Unamuogopa Nani?. Yeye Kama Nani?. Ataishi Milele? Mwisho Wake Ni Wapi?. Muhimu Ni Kumkumbuka Mungu Katika Harakati Zetu Za Kila Siku. Amani Iwe Kwenu Wandugu.
Uko sahihi mkuu
 
Biblia kuna mstari nimeusahau.

Imeonyesha waoga wote na wwezi na wazinzi na madhambi mengine sehemu yao ni moto tu.

Cha ajabu wa kwanza kutajwa kwenye list ya kupigwa faya ni MUOGA.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom