Mimii siamini

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
mi siamini km hakuna mungu
mi siamini km kuna ktu cha bure duniani
mi siamini km maisha magum yanafanya mtu kua changudoa
mi siamini uongo
mi siamini km duniani kuna masikini
mi siamini km furaha inapatikana nje ya mtu

je wewe huamini nn?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom