wilo
Member
- Jun 19, 2016
- 37
- 7
Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano
Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e wetu huyo ana tukana balaa hafu sio yeye t ambao nime kutana nae wapo wengi t hadi mwezi huu mtukufu wa ramadhan
Sasa najiuliza tusi huwa sio zambi ama wana chukuliaje tusi? hapo sinaga majibu kabisaaaaaaa