Itakuwaje Endapo..............

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
Hebu niambie. Itakuwaje endapo......
- Nitamgombeza na kumchapa sana msichana aliyevunja ungo kwa kuharibu kifaa muhimu cha nyumbani.
- Nitamkamata mwizi siku ya kwanza kabla hajafikisha siku arobaini
-Nitamwaga gundi kwenye mainswitch umeme ukikatika
- Mama mjamzito nitampa ufunguo ili umsaidie siku ya kujifungua
-Nitakasirika sana na kumchinja mbuzi iwapo atatafuna na kumeza nazi ninayokuna.
-
-
 
Back
Top Bottom