Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi,nyani akapora ndizi akala muuzaji akamaindi,mzungu akasema unamaind nini wakati ndizi kala ndugu yako?mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani wake kafa akauliza nani kamuua nyani wangu? Muuza ndizi akajibu hayakuhusu ni mambo ya kifamilia...