Msaaada

kimbunga jnr

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
260
59
Jinsi kuificha pm yangu yan mchumba wangu anapenda kufungua jf na kwenda moja kwa moja kwenye inbox cjui anatafuta nn je nawezaje kuweka password? Ili asione
 
Mchumba wako ni mkeo mtarajiwa...ni mtu bila kujali imani za kidini utakayeishi naye mpaka kifo kitakapowatenganisha hupaswi kumficha vitu vingi...kimojawapo kikiwa hiki...!
Lakini siku nyingine njoo na post yenye kuakisi ukweli achana na hizi za kutunga!always zinakuwa na mapungufu. ...
Anaingia pm zako kwakuwa anajua password yako na ID yako! Sasa kwa post kama hii unategemea utaaminika kweli kuwa ulichoandika ni ukweli?
 
Ahsante mkuu kwani anapaswa kujua back ground yangu huko nyuma nilikuwa na nani
f49c71987e67d2c3e031a93329723254.jpg
View attachment 359837View attachment 359837

Back
Top Bottom