KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,263
- 69,502
Jamaa mmoja alikuwa amekaa ufukweni mwa bahari mara akapita mzungu akamuuliza,Are you relax..?
jamaa:No
sekunde chache kidogo akapita mzungu mwengine akamuuliza jamaa,Are you relax..?
Jamaa:No
jamaa akaona mizinguo akaamua atembee tembee ufukweni,baada ya hatua chache akamkuta mzungu amekaa akipunga upepo
jamaa likamuulizi are you relax..?
Mzungu:Yes
jamaa kwa jazba likampa mzungu makofi matatu ya upako alafu likamwambia yani wenzako wanakutafuta alafi we umejikalisha hapa tu....!!