Je, Askari Polisi watampata Askofu Gwajima?

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167

Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima anasakkwa na jeshi la polisi sana ili akatoe maelezo ambayo jeshi hilo lina yahitaji mara baada ya sauti iyosambaa katika mitandao ya jamii ikizungumzia mambo kadha wa kadhaa ambayo inadhaiwa kuwa ni yake.
 
Mpaka hela zimwishie ndo atarudi,ila kwa starehe za dubai,hamalizi miezi 2,atarudi tu
 
Back
Top Bottom