Wakinga kwa ubahiri....

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,527
865
Watu wote tunaishi kwa bajeti ila hii ni kiboko

Mkinga mmoja alitumbukia kwenya kisima cha maji , akapiga kelele mkewe akaja na kamba mpya amrushie ili amuopoe, badala ya kuishika ile kamba mwanaumee akamuuliza mkewe umenunua shilingi ngapi..? mke akamjibu BUKU kwa Mangi....! mume akasema irudishe nenda kwa Sanga wanauza jero, fanya haraka ntazama.......!!
 
Ndio maana hata tukisafiri tunabeba mikate yetu ya ngano. Mikate ya kuchoma (inaitwa posho) haiharibiki leo wala kesho. Bakhresa kitu gani bana apite hivi na mikate yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom