Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Salaam jf.
Kuna jamaa mmoja et! kaniambia kuwa nchi zote duniani nyimbo zao za taifa zina videos, sasa kasema kasoro TZ peke yake. Hii ni kweli au fix?