TAARIFA KWA ANAYEHUSIKA

mm1

JF-Expert Member
Aug 17, 2014
569
170
Taasisi ya uhakiki wa mvua duniani(Taumdu) inapenda kutoa taarifa kwa yeyote anayetegemea rasimali ya maji yatokanayo mvua za misimu yote ya Mwaka 2016/2017,kuwa hakutakuwa na mvua hasa NCHI ya Tanzania baada ya kubaini Kuna urasimu Mkubwa unafanyika katika sector nyingi nchini ambapo watumishi hewa wengi wamebainika kuwepo katika sector hzo.Hivyo Basi,tumeamua kwa dhati kabisa kufanya uhakiki wa wakulima hewa kwa mda wa miezi sits hii ni kutokana na idadi kubwa ya wakulima waliopo,pia tunaendeleatunaendelea kuangalia kama kutakwa na ulazima wa kuruhusu mvua kwa baadhi ya mikoa yebye wakulima wavivu mfano Tanga,Pwani,na DSM vingenevyo tunaweza kuzuia kabisa hadi pale wakulima wa ukanda huo watakuwa wamejirekebisha.Aidha Taumdu inatoa karipio Kali kwa baadhi ya watu wanaopotosha kuwa mvua ztaanza mapema mwakani 2017,tunaomba taarifa hizo mzipuuze kwani uhakiki wa wakulima hewa Ndiyo kwanza umeanza huku ukitarajiwa kumalzka mapema mwishoni mwezi wa sita mwakani ndio pale tutaachilia mvua,pia uhakiki wa wakulima hewa inaweza kuchkua mda mrefu zaid ya huo uliotajwa hii ni kutokana na kutumia njia ya kielectronic ambao unachangamoto zake.
Imetolewa na Taumdu.
 
Hivi cha Arusha ukichanganya na cha Iringa unaweza kupata cha Tarime??
 
we hauko serious tunaotegemea mvua pressure iko juu, hatujui mwakani tunaishi vipi, na kwa bahati mbaya sana serikali ipo kimyaaa wanasubiri kutangaza njaa tu, badala ya kutupa tahadhari na mbinu za kukabiliana na hali hii
 
*Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawatakia furaha na amani tele kwenye msimu huu wa sikukuu.*
 
Back
Top Bottom