mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 498
Habari ya humu ndani wandugu, Kuna tabia moja ya hawa ndugu zetu wa huu mkoa wa mwendokasi wanoajiita wazawa au wandewa.
Inakera sana jambo dogo utasakia mjini kitambo wanajiona kila kitu wanajua wao kumbe bure kabisa .
Mjini kitambo kwa kutegemea nyumba za urithi , mjini kitambo una nini cha maana wivu na ukabaji ndio mlichobakiwa nacho
Nawakisha kutoka uswazi ila soon nahama.