Kwaheri 2016

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,370
29,961
Mwaka 2016 nenda tuu baba, tumejionea mengi juu yako hatukuchukii ila ujio wako ulikuwa na mbwembwe sana.

kama nilivyo kubali kukupokea pia acha nikubali kukuaga.

nenda tuu baba na maajabu yako ya kuwafanya watanzania wauimbe wimbo wa darasa verse zote kuliko wimbo wa jumuiya ya afrika mashariki.

ulikuja na mengi saana ila ondoka nayo tuu baba.haiwezekani hata Yanga nao wanalia mishahara ya miezii miwili hawajalipwa _*wakati wao ni wa kimataifa wanatumia dollars?*_

nenda tuu baba ukikutana na faru john msalimie mwambie huku bado wanatafuta kaburi lake.
 
Nimegundua aisee hii miaka inayogawanyika kwa 2 huwa migumu sn kwangu.2014 nilipata tabu balaa,2015 nikafanikiwa japo kidogo, 2016 ni maumivu mpaka natamani niu-forwad uishe.
Mungu msaada na usimamizi wako 2017.
 
Mkuu umezungukaaa weee lengo lilikuwa uwaseme wakimatifa watani zetu hahaaa nimeipenda
 
Hahah,ati wakimataif hawajalipw mishahar kwel mkuu? Ila dah,kwel ase mwaka 2016 umeondoka na faru we2 john!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom