Mzuka wanaJF,
Tulikuwa na katabia fulani na marafiki zangu kuandika maandishi kwenye vioo vya magari yaliyochafuka na vumbi.
Sasa kuna siku gari la TANAPA lilipaki kitaa yani limechafuka na...
Aisee labda niwe nimelewa ila kulala mchana big NO cha kushangaza sasa kuna watu wanasinzia daily mchana yaani mnafika job asubuhi tu mtu saa 3 anaanza kuegesha saa 7 anaegesha na sio kwamba...
Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa.
Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni...
TUKUMBUSHANE WAKUU
1. Hata penzi/ndoa iwe tamu kiasi gani usijethubutu kujenga kwenye kiwanja cha mkeo/ukweni.
2. Usinunue eneo unalojua lina mgogoro.
3. Mkwe hakopeshwi.
4. Usitangulize kutua...
Yani ulikuwa ukilala unaota namna gani kesho utamfunga mwenzio na namna gani utamvukisha snake kumaliza mission katika top gear, etc
aisee maisha yanakimbia.🙌🏿
Hakuna kinachoweza kushinda urembo wa namna hii, unakuta mtoto tumbo flat alafu sio pana then butt imeinuka round na sio kubwa na tepe tepe sanaaa, paja linakuwa nusu kilo sio kilo moja, chuchu...
Wadau niaje hizi ndizo chimbo za totoz kwa wale mnaosafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi.
1. Tanga-Mombo & chichi
2. Morogoro-kahumba
3. Musoma-Embassy kwa shangazi
4. Bukoba-Liquid
5...
Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.
Say hi to everyone and every...
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari...
Hamjambo?
Kiukweli sina hata la kusema ndugu zangu..ila mungu awabariki mama zetu aisee dah am speechless kwakweli
Nashukuru Allah nilijifungua salama usiku wa kuamkia ijumaa na sasa nimekuwa...
Hapa ni pale ambapo mambo ya utani sio tu yataonekana bali yataonekana kutendeka. Watanzania wanatumia utani katika kufanikisha na kurahisisha maisha yao, kufikisha ujumbe mzito kule unakotakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.