jannelle
JF-Expert Member
- Feb 8, 2020
- 1,145
- 2,218
Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike.
Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise pembeni😄 jamaaani... agiza kijiugali chako na vipande vya kuku au mboga mboga kwa vegetarian sawa tu, sio vichips na mshkaki mmoja kama naninyi mnamaintain Figure.
Haya dada chibonge madeko nilikuwepo.❤️