Nimeandika andiko kwa ajili ya kutafuta hela za ujenzi wa chuo kikuu matata, ambacho kitakuwa kinafundisha mambo ya biashara kuanzia ngazi ya cheti mpaka PhD.
Katika andiko hilo, nimependekeza...
Unapotoa lifti kwa baadhi ya watu tegemea mambo haya,
- Wizi/ukwapuaji - si ajabu umempakiza mkaka mtanashati au mdada mlimbwende lakini anaposhuka akaondoka na kitu chako hasa hivi vitu vya...
Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia.
Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na...
Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda hakupendeka na kutumia njia ya kistaarabu kumuacha kwa majonzi, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa penzi la dhati
Nakupenda mpenzi amini...
Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote."
Ukweli unaokoa muda na...
Hellow
Leo hatupiki leo tunatoka out kidogo kusafisha macho
Kwanza nilianzia kanisani kubugujika kidogo
baada ya hapo nikawa nawaza kichwa kizito so niende sehemu ya karibu na hapa nikaona ni...
Wana jamvi kidogo mnaweza kukusaidia hili. Kwanini mtoto akizaliwa wanasema lazima alie. Umewahi kujiuliza kwanini asicheke?
Ama anamaanisha ameingia kwenye Dunia ya tabu shida na dhiki kubwa...
Scenario 1;
Mwaka 2016, Novemba, Dar es Salaam, Sinza, lodge ya Twiga:
Tulikuwepo tupo mitaa ya Katalaunya pale na wanangu km watano hivi tunakula maji/pombe za kutosha. Ilivyofika mishale ya...
kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo...
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba...
Huyu mtumishi namkubali anakula mshahara wa halali
Ametukumbusha kuhusu matepeli
Kwa siku tutapokea SMS hazipungui 10 za SITAPELIKI
Sasa😅 imetosha kaka, ujumbe umeeleweka
Na hakika SITAPELIKi...
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.
Wa T.A tujimwae mwae humu.
TANGA NDIO HOME
Habarini wakubwa wa kazi,maandalizi ya watani kunyoana kesho nadhani yanaenda kwa kasi nzuri….Rada za huku kwangu zinasoma kwamba bado tabu iko palepale,ila mwishoni mwa ligi watakaoteseka kesho...
Kila Mtu kwenye maisha kuna wakati anaamua kucheza kamari na maisha yake anaona Liwalo na Liwe, ikitiki Nimetoboa ikibuma FRESH (Kakubali Matokeo)
Ni wakati gani kwenye maisha yako umeshawahi...
Nimeogopa sana!
Kama usafiri wenyewe unakuwa hivi nitafia kwenye kwenye daladala sijui mwendokasi😭😭
Na mimi ni mfupi kama Evelyn Salt binamu yake cocastic
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.