eli -DEFIANT- cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,785
- 30,077
Yani ulikuwa ukilala unaota namna gani kesho utamfunga mwenzio na namna gani utamvukisha snake kumaliza mission katika top gear, etc
aisee maisha yanakimbia.🙌🏿
🤣Aiseee longi sanaaaMortal Combat, GTA Vice city unampata CJ
Ps1 mwana mapinduziView attachment 3307069
View attachment 3307077
View attachment 3307078
Yani ulikuwa ukilala unaota namna gani kesho utamfunga mwenzio na namna gani utamvukisha snake kumaliza mission katika top gear, etc
aisee maisha yanakimbia.🙌🏿