What is the height of the table?

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
342
439

Kwetu smart thinkers
Screenshot_20240515_203350_Chrome.jpg
 
Oh! Algebra again.
Quick soln:
1, Get the narrative arithmetics
(a)Table + Cat - Tortoise = 170 cm
(b) Table - Cat + Tortoise = 130 cm
2, If you add eqn. (a) + (b) = 2 Tables = 300cm
3. Solve for 2 Tables = 300cm; i.e. one table = 150 cm.
Therefore the Table is 150 cm tall.
Zamani tulikuaga tunaandika QED ikimaanisha quite easily done.
 
Oh! Algebra again.
Quick soln:
1, Get the narrative arithmetics (a)Table + Cat - Tortoise = 170 cm

Urefu wa paka = 170cm÷2
= 85CM

Urefu wa kobe = 130cm÷2
= 65cm
So urefu wa meza = urefu wa paka + urefu wa kobe
= 85cm + 65cm
= 150cm
Mkuu; Kwa nini (kigezo) umegawanya urefu wa Paka kwa mbili? na Urefu wa Kobe vilevile kwa mbili?
 
Mkuu; Kwa nini (kigezo) umegawanya urefu wa Paka kwa mbili? na Urefu wa Kobe vilevile kwa mbili?
Niliangalia nikaona urefu wa kulichopo juu ya meza ni sawa na nafasi iliyopo chini ya meza nikagawa ili kutoa kilichopo juu ya meza ili kupata urefu wa meza
 
Niliangalia nikaona urefu wa kulichopo juu ya meza ni sawa na nafasi iliyopo chini ya meza nikagawa ili kutoa kilichopo juu ya meza ili kupata urefu wa meza
Kwa kuangalia tu (Umetumia macho) inamaana umedhania na hakuna uhakika au
 
Hii nimefanya kwa kichwa nimepata 150, (mchoro 1 + mchoro 2)/2
Kiongozi; Hesabu ni Logic. Sasa kufanya kwa kichwa ndo inakuwaje? Yan hoja hapa ni kwamba umetumia njia gani (Maths rule/formulae).
 
Kiongozi; Hesabu ni Logic. Sasa kufanya kwa kichwa ndo inakuwaje? Yan hoja hapa ni kwamba umetumia njia gani (Maths rule/formulae).
Ndo logic ya kuangalia mpangilio wa picha, nusu ya urefu wa kwanza + nusu ya urefu wa pili ndo urefu wa table
 
Oh! Algebra again.
Quick soln:
1, Get the narrative arithmetics (a)Table + Cat - Tortoise = 170 cm
(b) Table - Cat + Tortoise = 130 cm
2, If you add eqn. (a) + (b) = 2 Tables = 300cm
3. Solve for 2 Tables = 300cm; i.e. one table = 150 cm.
Therefore the Table is 150 cm tall.
Zamani tulikuaga tunaandika QED ikimaanisha quite easily done.
Unazunguuuuka, eqn eqn, no need for that
 
So, what is needed then? Mkuu, Hesabu ndo utaratibu wake zinadai uoneshe njia umepataje jibu lako. Sio unapiga chabo halafu unatucheka eti tunazunguuuka.
Njia ya kwenda wapi? Apo km huna image analysis ability utulie
 
Back
Top Bottom