JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Monday, November 29, 2010 3:43 AM Mwizi wa nchini Japan ambaye kutokana na kufanya wizi kwa mwaka alikuwa akijiingizia kiasi cha pesa sawa na Tsh. Milioni 540 ametoa...
3 Reactions
51 Replies
10K Views
Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa Tatizo liko wapi? Tatizo hili hapa, "nina bodaboda wangu"...
3 Reactions
20 Replies
795 Views
Hili suala sijui ni kwanini yani asilimia kubwa ya wabongo ujinga wana upuuzi since enzi za Nyerere mpaka Karne hii ujinga haujaisha!
3 Reactions
9 Replies
501 Views
Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
1 Reactions
3 Replies
360 Views
1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
12 Reactions
84 Replies
4K Views
Wadau naona usingizi hauji, nikicheki horror movie, ntapata usingizi?
6 Reactions
98 Replies
2K Views
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu ninaomba kwa wenye utaalamu wa hivi vitu wanijulishe nataka kifaa cha kuchomea nyama kipi ni bora kati ya hivyo hapo juu? Kwaajili ya matumizi yangu binafsi ya nyumbani.
4 Reactions
15 Replies
843 Views
Halafu unaambiwa lazma wali uliwe (ufunge harusi). Utaenda wapi? Zingatia: Hakuna mambo ya NONE of the above (wala kataa ndoa haipo🚮🚮). NB: Muda mwingine inabidi jichomoe akili kidogo, usiwe...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Najaribu kupita mtaa kwa mtaa, sioni zile pukurushani za mwezi wa kumi na mbili, zile shamra shamra za maandalizi ya sikukuu, nyimbo hazipigwi, sijui tatizo ni nini? Ninachoona tu, ni wazazi...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Yana kina kirefu
7 Reactions
17 Replies
641 Views
Hapo umeelekezwa kibra. Ni tumsalie sala ya mwisho tu. Uzi tayari.
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na...
13 Reactions
107 Replies
3K Views
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania. 1. Wachaga 2. Wakurya 3. Wanyakyusa 4. Wahaya 5. Wapare 6. Wasukuma 7. Wameru 8. Wajaluo Yani...
60 Reactions
386 Replies
30K Views
Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies. Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads. Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future...
11 Reactions
85 Replies
2K Views
Habari Kuna baadhi ya clip hata kama ushaiangalia zaid ya mara 10 ila kila ukiingalia tena lazima ikuchekeshe au ikukumbushe jambo fulani Weka hapa tufurahii😁 Zangu ni hizo,sijawahi kuzifuta...
1 Reactions
8 Replies
407 Views
Za jioni wakuuu.................................... Anyway weekend iko poa? Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇 Niliona saloon...
5 Reactions
8 Replies
751 Views
We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
9 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwa kweli, kwa kuwa mwaminifu wa dhati katika maoni yangu ya unyenyekevu, bila kuwa na hisia na bila shaka bila kumuudhi mtu yeyote ambaye anafikiri tofauti na mtazamo wangu ...na bila uongo kwa...
2 Reactions
3 Replies
252 Views
Back
Top Bottom