Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi
1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari
2. Unafika kwako saa nne usiku na...
MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na...
Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara.
Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm...
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?
Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan.
Funguka Mkuu..!
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji...
Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo.
Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye...
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin...
Naona kwenye movie zao wazungu unaingia ofisini kwa boss kabla hamjaanza maongezi unashangaa anafungua kabati anatoka na ka whisky au ka wine una pewa toti mbili glass nusu ili kulegeza kidogo...
Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na...
Happy doctor’s day to all the doctors hapa Tanzania na duniani kote tunaheshimu mchango wenu katika huduma ya afya na maisha yetu ya kila siku.
Happy doctor’s day once again.
Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF.
Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.