JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wanaJf Napenda kujua hivi nanyi mnakuwa na ulevi km wangu(addiction) Wa kupenda kutumia mrefu humu jukwaani?? Maana nahisi si hali ya kawaida!! Tupeane uzoefu na ushauri pia![emoji120]...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Nikiwa kama mtoto wa pekee wa familia ya bwana The bold na bibi Nifah tunawatakia heri ya mwaka mpya wa 2017 uwe wenye mafanikio tele. Naona watu wanavyomind kimoyomoyo eti mbona sifanani na...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona watu wakipewa pesa na watu wanahangaika kuhesabu ila wakitoa katika ATM wanakunja wanaweka katika wallet pasipo kuhesabu kwa nini je ATM inaaminika kuliko binadamu au yenyewe...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Access bank baada ya kusumbuana kwa muda mrefu hatimaye wameachia mkopo,wadau leo mpaka Jumamoosi nitakuwa Sinza naclear mind kabla ya kuanza biashara rasmi,hapo Sinza baa ipi ina wahudumu na...
12 Reactions
86 Replies
9K Views
*Unasoma chuo unapata demu/boyfriend afu unamuita "my everything", ivi Unajua ni nani anakulipia Ada mbuzi wewe?[emoji23][emoji23][emoji23]*
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukielekea kumaliza mwaka naomba tupige kura na zitahesabiwa tarehe 1 January 2017. Awe member wa jamii forums, mtanzania. Tupige kwa wingi taja tu jina la mtu ambaye katisha mwaka huu 2016...
0 Reactions
110 Replies
8K Views
Nashukuru sana kuwa mmoja wa watu safi kabisa hapa JamiiForums kwa kuonyesha nidhamu ya hali ya juu. Nawashukuru Mods kwakuliona hilo. Karibu kueleza namna ulivyofanya kuepuka hizi ban ili hawa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza...
9 Reactions
159 Replies
13K Views
Sema umemaliza mwaka gani na mchepuo gani. Vipi unakumbuka nini pale.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sumbawanga nasikia Leo ni tarehe 3. Huko kwenu nyie endeleeni kuangaika na mwaka mpya wenu watu wanaitafuta February.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
1 Replies
755 Views
KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD : PELE : goal alilofunga Giroud halitafungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa...
10 Reactions
55 Replies
7K Views
je kuna ukweli kwamba ili mtu yeyote aingie kwenye mahusiano na mtu fulani ni lazima aanze kutamani ndipo anapenda? ( its real that admiration start then true love follow?)
2 Reactions
5 Replies
899 Views
*Ivi kama juzi ilikua 2016* *jana* ni 2017* *Ivi leo si itakua 2018* * kesho itakua 2019* *Halafu keshokutwa itakua 2020... *tutaenda kupiga kura tena...
2 Reactions
1 Replies
999 Views
Tunatoa huduma kwa wote wanaosumbuliwa na magonjwa sugu au ya tabia.. Magonjwa haya yanatibiwa kwa njia ya kutumia virutubisho mwili vitakavyomwezesha mgonjwa kurudi katika hali ya kawaida ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtoto John Tangu Azaliwe Alikuwa Hawezi Kuongea kabisa!, Siku Moja Akaita Bibi... Kesho Yake Bibi Akafa!! Siku Iliyofuata Akaita Babu... Kesho Yake Babu Akafa!! Nyumba Nzima Ikajaa Hofu kubwa...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanachitchat, nawatakieni heri na baraka za mwaka mpya! Maisha ya karne hii yametawaliwa na namba......kila kitu ni namba. Namba za simu, Namba za akaunti yako ya benki Namba za kadi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
[emoji666] Ivi kama jana ilikua 2016 [emoji666] Leo ni 2017 [emoji666] Ivi kesho si itakua 2018 [emoji666] Halafu keshokutwa itakua 2019 [emoji666] j5 itakua 2020... tutaenda kupiga kura tena...
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Binadamu tunaishi kwa unafiki mkubwa sana, haina tofauti na demu aliyetongozwa na jamaa alafu demu akazingua, jamaa anapogeuka upande wa pili kutongoza rafiki za huyo demu; demu anaumia na kumind...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom