Nimekuwa nikiona watu wakipewa pesa na watu wanahangaika kuhesabu ila wakitoa katika ATM wanakunja wanaweka katika wallet pasipo kuhesabu kwa nini je ATM inaaminika kuliko binadamu au yenyewe haikosei??
Sasa ukikuta zimepungua unaenda kuwapa report unaambiwa subiri mpaka mkaguzi apite hizo ni siku 2sasa hata ATM ikitoa 20,000/= utahesabu..!
kama ni mzigo wa maana lazima usogee pembeni uhesabu mkuu.. ile mashine haijatengenezwa na mungu..
Acha stori za kwenye vibanda bamiza huko kwenu KIBONDE MAJI! eti walizoa pesa acha yaani unafanisha hela na maji ya bomba la dawasco liliposuka.Kuna siku ATM ya international house zamani ilikuwa pale getini unavyoingia nasikia kuna mteje alienda kutoa pesa ikampa pesa baada ya dak 5 ikaanza kutema bingo ultimate security walizoa pesa acha siku hiyo hiyo wakaing'oa na kuiweka ndani kule juu bank
Wewe wasema mwaka 2012 lilivuma pale udsm nmb uki-request buku 20 inatoa laki 2 watu walikomba zoooteatm haikosei hata iweje
Sasa pata picha, umetoa laki tatu na ishirini, risiti inaonyesha ni laki tatu na iahirini, lakini kuja kuhesabu unakuta ni laki tatu kamili.sasa hata ATM ikitoa 20,000/= utahesabu..!
kama ni mzigo wa maana lazima usogee pembeni uhesabu mkuu.. ile mashine haijatengenezwa na mungu..
Sasa mimi nilizikuta standard chartered bank shoppers nikazibeba nikamwambia mlinzi ila mlinzi aliziona akawa anaogopa camera mimi nikamstua nikaingiza kadi nakujifanya nachukua kabla sijafanya lolote mama wakizungu mabegani nikajifanya msamalia akanishukuru niliumia roho.....sasa funga mwaka mbezi garden tank bovu crdb naingi nichukue 15000 ilikuwa imebaki katika account yangu naingia nakuta na jamaa bonge kama watoto wa mama naangalia nakuta atm inauliza unaendelea na muamala nikasema ndiyo nikachukua 440000 nikatoka fasta na kadi nikaacha hapo nilikuwa nawashikaji tukapiga pasu tukajaza wese tukaebda Esaje kula mai sasa sijui jamaa alikuwa na mawazo akajua imetoka hata sijui....ila ndo mambo ya ATMkuna siku network ilikuwa inazngua, sasa kuna bidada mmoja alifanya muamala ila haukukamilika kadi ikatoka, ye akaondoka ile naingia mim nikakuta machine ya pembeni inacount pesa after a seconds mihela hiyo ikatoka, nikaangalia kushoto kulia hamna mtu sema mchawi alikuwa camera tu ikabidi nimwambie mlinzi, ile natoka tu namuona bidada anarudi anasema ametumiwa SMS kuwa katoa hela