New year

i-77

JF-Expert Member
May 23, 2015
726
821
Ivi kama jana ilikua 2016
Leo ni 2017
Ivi kesho si itakua 2018
Halafu keshokutwa itakua 2019
j5 itakua 2020... tutaenda kupiga kura tena etieeee‍♂
 
Ha hahahhh
Uongozi wa sasa ndio umekuchosha mapema hivi
 
Ivi kama jana ilikua 2016
Leo ni 2017
Ivi kesho si itakua 2018
Halafu keshokutwa itakua 2019
j5 itakua 2020... tutaenda kupiga kura tena etieeee‍♂
Nimecheka sanaaaaaaaaaaaaa mpk nimejishitukia nitakuwa rahisi sasa kumwangusha baba jec maana wamejua hafai
 
Back
Top Bottom