Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Unasoma chuo unapata demu/boyfriend afu unamuita "my everything", ivi Unajua ni nani anakulipia Ada mbuzi wewe?*
Sanaa yaani wanawehuka kabisa!Mapenzi yanawafanya watu kuwa wapumbavu somtimes huku wkijihisi wana akili sanaaa
Kwan imekuaje mkuu*Unasoma chuo unapata demu/boyfriend afu unamuita "my everything", ivi Unajua ni nani anakulipia Ada mbuzi wewe?*
Kwan imekuaje mkuu*Unasoma chuo unapata demu/boyfriend afu unamuita "my everything", ivi Unajua ni nani anakulipia Ada mbuzi wewe?*