Miss natafuta wa JF audanganya umma

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake

Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf

Je huyu tuendelee kumwamini tena??

1.1.2017
 
Kama unawachukulia serious baadhi ya member humu jua na wewe si mtu serious.

Wengi ni watafuta kiki humu, kuna mwingine anaitwa Bikira Latifa alikuja hapa eti amejifungua watoto mapacha akiambatanisha na picha ambayo ni ya mwanamtindo wa Nigeria(akisema ndio yeye) akaja kupotea baada ya kuumbuliwa.
 
Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake

Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf

Je huyu tuendelee kumwamini tena??

1.1.2017
Endelea kumuamini, bado anatafuta
cc. Miss Natafuta
 
Back
Top Bottom