Tabia hizi utaziona Facebook, na ndivyo tulivyo wanafiki na wazandiki

Aputwike

Senior Member
Aug 9, 2016
170
250
Binadamu tunaishi kwa unafiki mkubwa sana, haina tofauti na demu aliyetongozwa na jamaa alafu demu akazingua, jamaa anapogeuka upande wa pili kutongoza rafiki za huyo demu; demu anaumia na kumind.

Ni hivi, kwa mfano unakuta page imeandikwa "Utamu wa chumbani" au "Fiesta Condom", hizi page lazima zitakiwa zinapost maudhui kulingana na title ya page. Sasa unakuta jitu linacoment, "vitu hivi Mungu hapendi". Lingine litasema, "Mlio post huu ujinga mlaaniwe kabisa". Lilipokuwa lina like hiyo page sijui lilitegemea nini? Mijitu kama hii ukiiona ni kuchapa makofi kabisa.

Kuna comments nyinge hazifai mwanaume mwenye misuli kabisa na ndevu zako ucomment, tuwaachie akina dada. Mfano, " ........... Mungu anakuona". Hii ni dalili ya woga na kukata tamaa. Sidhani wanaume wakikurya kama wana kauli kama hizi, labda waliozamia kwa Makonda.
 

Sakayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
56,541
2,000
Sasa wewe unatofauti gani na hao ulowataja, acha woga na kukata tamaa baeleze baelewe huko huko facebook
 

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,225
2,000
asa unaleta vitu hivo jf vya nin,wambie fb ukoo? kwani ushaona mambo kam hayo jf?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom