2020 msiache kupiga kura

asuuu

Member
Dec 19, 2016
17
45
*Ivi kama juzi ilikua 2016*
*jana* ni 2017*
*Ivi leo si itakua 2018*
* kesho itakua 2019*
*Halafu keshokutwa itakua 2020... *tutaenda kupiga kura tena etieeee*♂
 

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,140
2,000
Na watanzania tudai tume huru ya uchaguzi.
Watumishi stahiki zao wamedhulumiwa, madai ya mishahara na malimbikizo.
Toeni elimu na kuikataa ccm kabisa 2020
 

asuuu

Member
Dec 19, 2016
17
45
Na watanzania tudai tume huru ya uchaguzi.
Watumishi stahiki zao wamedhulumiwa, madai ya mishahara na malimbikizo.
Toeni elimu na kuikataa ccm kabisa 2020
wape habari marafiki na majirani wajitokeze kwa wingi 2020
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom