Ambao hatujawahi kupigwa ban tukutane hapa tujipongeze kwa kutii sheria ipasavyo

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Nashukuru sana kuwa mmoja wa watu safi kabisa hapa JamiiForums kwa kuonyesha nidhamu ya hali ya juu.

Nawashukuru Mods kwakuliona hilo.

Karibu kueleza namna ulivyofanya kuepuka hizi ban ili hawa wapigwa ban mara kwa mara wajifunze kutoka kwako.
 
Huu uzi ni sawa na wasichana wanaosema ambao hatujawahi kubikiriwa tukutane hapa.

BTW hongera kwa kujiunga JF siku moja na mimi.
 
Leo nmeona mtu kapigwa BAN, juzi pia,
Siku hizi ukijichanganya kodogo tu basi avatar yako itabadilika na kuwa nyeupe yenye maneno BANNED. Ujue kimenuka.
 
Samtaimz mada huwa inatia hasira kinoma,naandaa reply yenye uharo wa kutosha ambao hata pogba akiiiona lazima maxence arudishwe lupango.lakini nikija kufanya uhariri napunguza ukali wote wa maneno au naamua kufuta komenti yote alafu nachapa lapa.
 
Nashukuru sikuwahi kupigwa ban ila kuna michango yangu kadhaa inafutwa futwa
 
sijawahi pigwa ban,ila natamani hata siku moja mods wanipige...ili nisiingie jf kwa muda,mana hivi mwenyew account yang ipo hewan nashindwa kujizuia kulog in,jf bhana
 
Back
Top Bottom