real thinker
Senior Member
- Jun 24, 2012
- 118
- 30
je kuna ukweli kwamba ili mtu yeyote aingie kwenye mahusiano na mtu fulani ni lazima aanze kutamani ndipo anapenda? ( its real that admiration start then true love follow?)
okay fine brotherNi kweli kabsa
okay sawa sawa kaka nimekusomaNdio kijana lazima kidogo umezee mate kwanza ndo Upendo unafuata