JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wanaJF, Leo tunakuja na mchezo mpya unaoitwa “Niongezee Sentensi” – huu ni mchezo wa fikra, ubunifu na mantiki, ambao wa mwisho kabisa tutamtumia mkono wa pongezi. Unaburudisha, unachokoza...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Kudadadadeki! Tumetoka mbali mangi tangu enzi zileeeeeee.... unaogeshwa live.... Mpaka yaani shheenzy zakoooo ukapitia matatizo makubwa sana.... dingi yako alikuwa mmmbaayyyaaaa!! Nakumbuka...
31 Reactions
243 Replies
15K Views
Nimekutana na hii picha kwa kweli nimecheka sana. Na tunaishi wa watu wenye mawazo ya mbali sana. Don't take it serious it's for fun tu 😃
3 Reactions
3 Replies
451 Views
Inakuwaje wakuu Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021 Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi...
4 Reactions
21 Replies
960 Views
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
23 Reactions
391 Replies
38K Views
Wakuu Leo ni ni siku ya Kuzaliwa ADRIAN HILLARY STEPP aliekuwa EATv ambae sasa yupo AZAM Tv two. Hope mnajua ni mdau wetu. Chanzo cha Habari ni AZAM Two na mtoa habari ni yeye mwenyewe kwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni ng'ombe jike katika familia fulani...huyu ng'ombe alikuwa anakamuliwa maziwa na kuleta riziki kwenye hiyo familia. Mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho kwenye hiyo familia alikuzwa na maziwa ya...
2 Reactions
10 Replies
748 Views
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
7 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Natumaini wote mko salama na wenye afya njema. Leo natimiza mwaka mmoja tangu nilipojiunga na hii jamii adhimu ya wasomi na wachambuzi wa mambo mbalimbali. Ni...
52 Reactions
360 Replies
8K Views
Baadhi ya picha ni Photoshop.. Nyingi ni halisi.. Nyingine ni maigizo
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Source: GROK MAJIBU: SUGGESTION YA VYAKULA: SUGGESTION YA MCHANGANYIKO WA VYAKULA ULIO BORA NA DOZI YAKE:
2 Reactions
2 Replies
412 Views
Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi. Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi . Ila sasa kwa...
11 Reactions
15 Replies
971 Views
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha...
-1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa namfatilia mrembo huyu kwa muda mrefu huwa ananikosha sana kwa komenti zake, ucheshi wake na hata masihara yake. Mahondaw njoo hapa nikuhonge mgodi wangu wa hapa Kiwira ili nikuoe na...
23 Reactions
729 Replies
116K Views
Yaani ndio kama hivi, maana hata sielewielewi. Saa mbili kamili usiku: Bibi yenu: We mzee msosi tayari, nikutengenezee kachumbari? Mimi: Tena weka pilipili ya kutosha mama, nina apetaiti ya watu...
20 Reactions
113 Replies
17K Views
Yes... It is my birthday... Baada ya kukurukakara za maisha ya utoto na ujana... Hatimaye leo imempendeza tena Mungu kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu... Ahsante Mungu...
13 Reactions
117 Replies
17K Views
Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
3 Reactions
8 Replies
536 Views
Nataka kila weekend niwe naenda cinema je wapi Kuna cinema quality sanaa na mazingira mazuri?
2 Reactions
6 Replies
531 Views
Back
Top Bottom