Kuna Bar moja nilipita kupata Kifungua kinywa. Nikaona wapishi wa majiko mawili tofauti wakiazimana sahani, kisu,sufuria na Toothpick Unaposema huli kitimoto ukienda bar yenye majiko mawili kuwa...
Nataka kumtumia jamaa yangu hela anakuwa mkali anasema "usitume usitume huko kwenyo line nadaiwa"😂😂😂
Karibu kila Mtanzania mwenye line ya simu ana deni kwenye line hiyo. Hii kauli ya "usitume...
Hi chit chat,
Mimi
Mtaani
1. Cheupe
2. Wa kishua
3. Mwanachuo
JF
1. Mwanaume
2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja...
https://www.jamiiforums.com/threads/tukutane-hapa-tuliowahi-kuvamiwa-na-majambazi-tupeane-uzoefu-ushuhuda.1680289/
Ni wa Stori za kusisimua juu ya kuvamiwa na majambazi.
Vp upande wako?
Kama bado una pambana ili kumlidhisha mwanamke naomba nikukumbushe kuwa Kuna harmonize Ali honga Range kajala one and two bado haikutosha ku mridhisha mwanamke
Haji Manara ame mpeleka Zay Lissa...
HABARINI ZA UZIMA
WANA UBAYA UMWELA
KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA
LENGO KUU
BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO
TTUIMBEEEE MAGOLI YA...
ASILI ni mafumbo.
Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi.
Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea!
Usijari solution yake ni! (KIKUNTI)
Wale watu wa kigoma wanaelewa...
Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali...
Nimeandika namba hizi; 27,000 na 20,007 nikamtaka aniambie kwa maneno katika lugha ya kiswahili. 😂 Aseee alikuwa anatoa jibu anajikosoa mwenyewe, ningiweka kwenye karatasi sijui ningejaza karatasi...
SIMULIZI FUPI: NDOTO YA DANIEL
MWANDISHI: MOSSES MLAY
Siku moja Daniel alipata safari ya kikazi ikiwa ni siku mbili tu kabla ya shughuli maalum ya washenga kuja nyumbani kwaajili ya kumposa dada...
Special kwa wana jf wote walio single na wachache wenye watu wao humu...
kama unajiamin wewe ni mjanja na unamistari raini ya kumtoa nyoka pangoni basi thread ndo hii.. Ni wakati wako...
Hivi kwanini mnakua hamuelewi pale mwanamke anapokwambia tiari anampenzi wake, jamani mnakela yani mtu anang'ang'ania tafikiri aliambiwa nimezaliwa kwa ajili yake.!!!
zilikua ni siku ngumu sana kwangu kupita bila kusikia kitu chochote kutoka kwa judgement jaman, huyu kaka sijui kanipa nini kila muda ilikua ni kumuwaza yeye... lakini cha kustukiza nlivorudi...
Habari zenu wakuu
Wengi wetu kama sio wote tunawasiliana kwa njia ya simu mara kwa mara, lakini wakati mwingine unakuta kuna ile huna story ya kupiga na aliekupigia/uliempigia, kwangu mimi vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.