Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi.
Iko...
Aise! Wajuvi
Baada ya kukaa ndani sana nikasema ngoja ninyooshe miguu,Sasa nikakatiza maeneo fulani kuna chochoro ambayo pembeni kuna bweni la wasichana wa shule fulani, Nikiwa sijui hili wala...
1. Mke laZima Kulala ukutani
2. Kukojoa nyuma ya choo
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga
6 kuisha vyombo...
Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema...
Assalam alyeikum mabibi na mabwana..?
Bila kuwachosa njoga niwape kisa hichi kilichonikuta, waswahili wanasema ujana maji ya moto sasa mimi nilikutana na moto wenyewe!.
Ilikuwa ni usiku tulivu...
Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny.
Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend.
Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu
Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza.
Hamjakaa sawa haha...
Ugonile.
Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo...
Lafudhi gani huwa unaona nzuri?
Zipi unaona mbaya?
Zipi zinakuchekesha?
Mimi lafudhi ya kisafwa na kisukuma huwa naona mbaya hasa kwa wanawake. zimekaa kibabe.
Wafipa huwa naona lafudhi yao poa...
Za alasiri wana jf,
Kwa watu tunaoishi dsm huu ndo ukweli mchungu hakuna sehemu inayoongoza kwa pisi kali dar es salaam nzima kuzidi Sinza haipo na haitakaa itokee sio makalio makubwa, shepu...
Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.
Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.