Ukialikwa mahali, beba hata kinywaji cha kuzugia basi

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,978
Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?

Ila nadhani inaeleweka.

We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?

Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔

Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
 
Ninavyojua ni kuwa km umealikwa sehemu ya kula au kuny2a ndo ntabeba cash au ntasapoTi labda kulipia usafiri au kuongezea baadhi ya vitu nazungumzia sehemu kama bar lounge au restaurant,

Huwezi nialika nyumbani kwako ñibebe ety kinywaji we km huna uwezo huo tunaelewa
 
Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?

Ila nadhani inaeleweka.

We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?

Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔

Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Bongo haya mambo hayapo ila huko duniani labda.
 
Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?

Ila nadhani inaeleweka.

We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?

Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔

Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Huwezi kualikwa kwa mtu ukaenda mikono mitupu.
Chukua hata carton ya beer, chupa ya wine, box za soda au chochote.. tupia kwenye gari
Unafika unaulizwa unakunywa nini….eti Heineken, wakati umeenda mikono mitupu…seriously?
 
Na hivyo ndio inavyotakiwa kuwa. Ila si unajua wabongo tena 😂
 
Njooo united republic of Botswana.... Ukialikwa wabeba ulevi wakoo, chakula/bites utazikuta hukoo
 
Ukialikwa alikika, nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja namwambiaga tutoke anajiongezaga anakuja hata na ka elf10 kakuongezea bia
 
Masta umetokea zone gani ? Yani ualikwe mahali ubebe kinywaji ? Ushamba wa hali ya juu ! Sema unatakiwa uwe na cash mfukoni, mengine yatajipa huko huko
Cash nyumbani kwa mtu ya nini? Beba chupa yakoya wine au carton ya beer kama jamaa alivyosema. Ndio ustaarabu huo.
 
Hayo ni maisha ya wazungu, hata kwenye msiba wanabeba vyakula vyao.
 
Mtoa. Post ungeelezwa unaalikwa wapi ,kwenye sherehe ukumbini, au kwenye kipati nyumbani, au bar.
Kwenye sherehe yoyote ukialikwa cha msingi na sekondari usikose pesa ,unakuwa na pesa ya tahadhari lolote linaweza kutokea .
 
Back
Top Bottom