JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Karibu kwenye mada hii maalum kwa wapenzi wa teknolojia na ubunifu! 🌟 Katika zama hizi za akili bandia (AI), tunaweza kutengeneza picha za kuvutia kwa kutumia teknolojia ya AI. Katika mjadala...
9 Reactions
79 Replies
3K Views
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion ) Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu...
1 Reactions
10 Replies
682 Views
Salaam! Tangu kuzaliwa kwangu nimeshapika vyakula vingi. Hata hivyo (nadhani kwa kutokana na kuzaliwa wa kiume) sikuwahi kupika chapati. Niliaminishwa mapishi ya chapati yana utaalamu ambao ni...
21 Reactions
223 Replies
26K Views
Wapendwa poleni kwa giza na kutokuoga kwa siku kadhaa huko mjini wakati bahari, maziwa na mito ipo teleeee. Poleni wale wenye simu changamoto za battery, sisi wa simu original tunapeta tu...
27 Reactions
2K Replies
101K Views
Mapenzi yamekua changamoto sana kipindi hiki... Ila haya ni maneno mawili ambayo yatafanya upate mpenzi ambaye atakutii na wewe utamtii yaani kiufupi mtatiana... Maneno haya ni mawili tuu YAKUZ...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia; 1. Kizimkazi Festival, 2. Tulia Trust Festival, 3. Arusha Land rover Festival, 4. Majimaji Festival, 5. Wasafi Festival, 6...
2 Reactions
9 Replies
598 Views
Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wa 2000 watasema haya ni mabomu ya kivita ya zamani🤣🤣🤣
12 Reactions
61 Replies
3K Views
Resentful people are those who thinks they should get something or all the favor that others have and they don't. They think of it as their birthright. Niliposema ni handsome na wadada...
3 Reactions
64 Replies
2K Views
Mimi kwa upande wangu hali imekuwa tofauti sana. Uchumi umekabia juuu wee sasa naona ukabie miguuni sasa.🥺 Kwani nyie chakula kutwa mnakula mara ngapi , isijekuwa mimi ninazidisha idadi ya milo ???😥
4 Reactions
27 Replies
758 Views
Kila mtaa ulikuwa na dogo aliekuwa mtalaam wa kulenga🤣
12 Reactions
14 Replies
830 Views
Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa). Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:- Kuniuliza Swali...
14 Reactions
261 Replies
8K Views
Tajiri hasalimii. Kuna hawa wamama wakikuona umezubaa zubaa tu mtaani huna hili wala lile, yaani hawasikii siku umeng'oa demu wala skendo yoyote mbovu basi wanaamua kukublesi na kipisi Chao...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Nilichokiona kwa wazungu au watu nje ya bara la Africa wengi awe mwanaume au mwanamke mara nyingi mkikutana tu popote ikatokea mkaanza kupiga story na ikaonekana mtaendelea kuongea muda mrefu...
3 Reactions
18 Replies
753 Views
Dar bwana unashangaa mwanaume amekuzoea ghafla.anajileta bana anajileta tena hakujui humjui unasema mtu kanielewa nini? unamshukuru Mungu mkeka wa wa maombi kumi na mbili kwa mwamposa umetick...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Moja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue . ------------------------------ Binafsi nikipewa chai ya maziwa...
12 Reactions
149 Replies
3K Views
Tafuta hela hakuna mzee wa miaka 60. Tafuta hela V8 Sio gari za selikari. Tafuta hela usiwe unalala na gesi chumba kimoja haupo ICU wewe. Tafuta hela uache kusema weka chipsi za kushiba...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Chat gpt imepagawa haiwezi kutofautisha 10,007 (Kumi alfu na saba) na 17,000 (elfu kumi na saba) Ona ilivyojam 😂😂 Hakika! Hapa chini ni maandishi ya nambari hizo kwa maneno ya Kiswahili...
8 Reactions
16 Replies
888 Views
Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
33 Reactions
117 Replies
3K Views
Back
Top Bottom