JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu ushapata kikombe? Kama shughuli zimekubana;Tuma neno KIKOMBE LOLIONDO kwenda *000# ili uletewa kikombe hapo ulipo. Huduma hii ni kwa lengo la kupunguza msongamano kwa Mch. na kuhakikisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inasemekana babu wa loliondo ni chadema ndio maana tiba anayotoa nikama bure,watu wanasema angekua ni sisiemu ungekuta dawa ni milioni tano na wangehudumia viongozi mafisadi wa sisiemu kwanza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye kila jambo mna kusudi,naamini kuwa kuwepo kwa mchungaji Ambikile na uwezo wake wa kutibu magonjwa sugu kwa mitishamba,ni fursa kubwa kwa nchi yetu kujitangaza na kuingiza pesa nyingi za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*"Nakusihi mwanaume ufanye kazi ili umletee chakula mke na c yeye akuletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume ilikuwa ni pale Eden na tulijikuta tumefukuzwa...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanawake bwana, mnapopanga mahusiano yenu ili kuanzisha maisha ya ndoa na familia wanakua very supportive , ahadi nyingi , za kuendana na hali mtakazokumbana nazo , lkn ghafra mkishaanza maisha...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutokana na asili / nature ya Kazi zao Makondakta wengi nchini wamelalamikiwa sana na Wake / Wapenzi wao hasa kutokana na Vitendo vyao wa kila siku usiku wakilala tu huwa wanawahi Kuota Ndoto zao...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF. Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Aiseee hapa nilipo nimeboreka sana Kuna dada tupo tunafanya group discussion lakini cha ajabu kaachia ushuzi bila hata kuona haya yani kama vile hakijatokea kitu Nimeshindwa kuvumilia kwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
First things first.... I MISSED YOU GUYS BAAAD!!!!!! cant even express it. Dah nimekuta mabadiliko ya JF Chit-Chat (Uhuru wa ku-chat ndani ya thread) na nimeyapenda... Huko nilikokuwa mambo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kwa nini wale wazee wenye mabusha ukiwajambisha wanaruka?
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuanzia leo sitachangia kitu chochote jamii forum kwa lugha ya Kiswahili iwe mada imeletwa kwa lugha ya kiswahili ama ya kingereza nitachangia kwa lugha ya kingereza hata kama ni kibovu kupitiliza...
10 Reactions
88 Replies
5K Views
Salaam wana MMU, Kumekua na mada mbalimbali zinazohusu tabia,silka za wanawake wa kutoka makabila mbalimbali yaliyo ndani ya Tanzania au nje YaTanzania,mfano kuna mada kuhusu wanawake wa...
0 Reactions
45 Replies
31K Views
Habari wakuu, Leo ni happybirth day ya mpenzi wangu, sasa hapa najiuliza nimnunulie zawadi ipi kati ya hizi? 1.Pipi 2.Choclate 3.Ndizi 4.Andazi 5.Apple Hivi zawadi gani atafurahi sana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kilimanjaro Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
567 Views
Stress ni pale mwalim wa art anaposubiri ajira kitaa,huku kiongozi katoa tamko wanatakiwa walim wa science[emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Pia kwa nini chai haipaliliwi mkaa kwa juu(moto juu ya mfuniko) kama ubwabwa. Sasa miaka yote chuo unakua unafanya nini hadi GPA ya 3.8 inakushinda? Ni ipi ilikuwa comment iliyokufurahisha zaidi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Hi Nimeona vema sana kuanzisha uzi huu baada ya kuona watu wengi wamepoteza shauku la kuishi hii ni kwa sababu ya kushindwa kupata majibu kamili ya kile anachokihitaji hivyo tunaamini humu ndani...
0 Reactions
220 Replies
13K Views
Kama title inavyojieleza, Kwa kweli nimechoka kwenda kavukavu, ni muda mrefu sasa, nilimfata jamii forums PM kuhusiana na hili tatizo naona sijui ndo kalipuuzia hili tatizo, nililetega uzi wa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau' [emoji125]...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom