dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,143
- 5,609
Kama title inavyojieleza,
Kwa kweli nimechoka kwenda kavukavu, ni muda mrefu sasa, nilimfata jamii forums PM kuhusiana na hili tatizo naona sijui ndo kalipuuzia hili tatizo, nililetega uzi wa hili tatizo mkaufuta.
Tatizo kwani ni nini hadi mnadhindwa kutusikiliza matatizo yetu?